Tanzania

Mwinyi aiomba UNESCO kusaidia uchumi wa Buluu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amelishauri Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni…

Soma Zaidi »

VETA kuadhimisha miaka 30 elimu ya ufundi

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametangaza kuanza kwa Maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Elimu…

Soma Zaidi »

Tanzania yashiriki mkutano wa mawasiliano ya simu Hispania

BARCELONA:  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry William Silaa , ameshiriki katika Mkutano wa Dunia wa Masuala ya…

Soma Zaidi »

Mohammed Iqbal atakumbukwa

DAR ES SALAAM: ATAKUMBUKWA, Mohammed Iqbal, aliyekuwa msomi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, alikuwa miongoni mwa Watanzaia walioshiriki katika…

Soma Zaidi »

IHI yazindua rejesta kwa watoto wachanga

IFARAKA Health Institute (IHI) imezindua rejesta itakayotumika kukusanya taarifa za watoto wachanga. Akizungumza Dar es Salaam Leo kwenye uzinduzi huo,…

Soma Zaidi »

Miradi ya maji ya bil 4.5/- kunufaisha vijiji 17 Bukoba

WAKALA wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wanaendelea kutekeleza miradi ya maji yenye thamani ya Sh bilioni 4.5…

Soma Zaidi »

Mwinyi: Tutende mema ramadhani kuuishi Uislamu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Waumini wa Dini…

Soma Zaidi »

Tanzania yapokea faru weupe kutoka Afrika Kusini

ARUSHA: SERIKALI ya Tanzania kwa mara ya kwanza imepokea faru weupe 18 kutoka Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli…

Soma Zaidi »

RC Shinyanga aweka jiwe la msingi sekondari Bumva

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha ameweka jiwe la msingi shule mpya ya sekondari Bumva, iliyopo kijiji cha Bumva…

Soma Zaidi »

Bodi TEMDO yatakiwa kutengeneza fedha

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Suleimani Jafo ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania…

Soma Zaidi »
Back to top button