Tanzania

Amuuwa rafiki yake kisa zamu ya kupika

MBEYA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mussa Basuka ,30, ambaye ni mchimbaji mdogo na mkazi wa Manyanya wilayani…

Soma Zaidi »

Wajasiriamali wanawake, vijana mipakani kuwezeshwa

SHIRIKA la Foundation For Civil Society (FCS) limeingia makubaliano ya miaka miwili na Benki ya Stanbic Tanzania kupitia mradi wa…

Soma Zaidi »

Gidion jela kwa kumkata Thomas vidole

MAHAKAMA ya Wilaya ya Iramba imemuhukumu Gidion Soza ,22, mkazi wa kijiji cha Mingela-Shelui, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida,…

Soma Zaidi »

Mkenda aagiza usimamizi tozo za ukaguzi bidhaa za mionzi

SERIKALI imeiagiza bodi mpya ya Tume ya Nguvu za Atomu (TAEC) isimamie tozo zinazokusanywa na tume hiyo katika ukaguzi wa…

Soma Zaidi »

Ajali ya New Force 12 wajeruhiwa Bwawani

BASI la New Force lililokuwa likitokea Tunduma kuelekea Dar es Salaam limepata ajali katika eneo la Bwawani, Chalinze mkoani Pwani…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

We proceed with Swahili word which start with letter H The words you mentioned, “Halafu,” “Hamsini,” and “Hapa,” are all…

Soma Zaidi »

Tanzania mwenyeji jukwaa la kimataifa utalii wa vyakula

TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Pili wa Utalii wa Vyakula wa Shirika la Utalii Duniani Kanda ya Afrika…

Soma Zaidi »

TLS wakata kauli ya serikali kukamatwa vyombo vya dola

LINDI: CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Ipilinga Panya amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutoa kauli ya katazo kwa vyombo…

Soma Zaidi »

Wanaume washauriwa kuwaruhusu wake zao ufundi chuma

JAMII katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara hususani wanaume wanaoishi na wanawake wenye fani mbalimbali ikiwemo ufundi chuma, wameshauri…

Soma Zaidi »

Sita jela miaka 3 kuchoma moto basi la Saibaba

MAHAKAMA ya wilaya ya Korogwe imewahukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya sh milioni moja kila mmoja watu…

Soma Zaidi »
Back to top button