Tanzania

Onesho lafungua fursa sekta ya utalii

SERIKALI kupitia maonesho ya Swahili International Tourism Expo- S!TE imezidi kufungua milango ya fursa katika sekta ya utalii zinazopatikana nchini…

Soma Zaidi »

Onesho laingiza pato sekta ya utalii

TANZANIA imeendelea kupata mafanikio chanya kwenye sekta ya utalii kupitia onesho la Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024 ) lilohitimishwa…

Soma Zaidi »

Red Cross Tanzania yaandika historia Manyara

UJENZI wa nyumba 35 za waathirika wa maporomoko ya udongo na mawe wilayani Hanang mkoani Manyara uliojengwa na Tanzania Red…

Soma Zaidi »

Tasac yaonya vyombo vya mizigo kubeba abiria

SHIRIKA la Wakala wa Huduma za Meli Tanzania (TASAC) limewataka watanzania kuacha tabia ya kusafiri kwa kutumia vyombo vya majini…

Soma Zaidi »

TFS yaanza kutoa chanjo ya sumu ya nyuki

WAKALA wa Huduma za Misitu (TFS) imewataka watanzania kujifunza kutumia sumu ya nyuki kama njia mbadala ya kuimarisha kinga dhidi…

Soma Zaidi »

“Chagueni wenye kasi ya Rais Samia”

SERIKALI ya Mkoa wa Mtwara imewataka wanawake wa Wilaya ya Mtwara mkoani humo kuacha majaribio katika uchanguzi wa Serikali za…

Soma Zaidi »

Nkuna wa Chadema afungiwa kuendesha gari

KADA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeshitakiwa kwa kosa ka kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa X…

Soma Zaidi »

Mweli: Matumizi ya mbolea yafikia tani laki nane nchini

DODOMA: MAMLAKA ya udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imeongeza tija ya matumizi ya mbolea kwa wakulima nchini hadi kufikia tani…

Soma Zaidi »

Ruzuku ya mbolea kuigharimu serikali Sh bilioni 300

DODOMA: SERIKALI imetenga sh bilioni 300 kwa mwaka wa fedha 2024/25 ili kugharamia ruzuku ya mbolea kwa wakulima. Hayo yamebainishwa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi vyuoni wafundwa kutotumika

WANAFUNZI wa vyuo vikuu na kati wameshauriwa kutotumika kwa namna yoyote ile kutimiza lengo la mtu au kikundi chochote. Wito…

Soma Zaidi »
Back to top button