Tanzania

Mwenge kupandishwa Kilimanjaro

KILIMANJARO : WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema…

Soma Zaidi »

Laigwanani wahamasisha uchaguzi mitaa

VIONGOZI wa mila jamii ya Kimasai ‘Laigwanani’ ni miongoni mwa watu wanaotumika katika kuhamashisha wananchi wa jamii hiyo ya kifugaji…

Soma Zaidi »

FITI watakiwa kutangaza bidhaa zao

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amekielekeza Chuo cha Viwanda vya Misitu Moshi (FITI) kujitangaza kwa lengo…

Soma Zaidi »

DC Ilala awataka vijana kudumisha amani, umoja

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka vijana kudumisha amani, umoja na mshikamano na kuwa wazalendo katika kudumisha demokrasia…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

We continue to discuss the word which start with letter “B” Bakshish means tip,bakshish is a relatively small amount of…

Soma Zaidi »

TPA Mtwara wapokea meli sita kusafirisha korosho

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA) mkoani Mtwara mpaka sasa imepokea meli sita za makasha matupu kwa ajili ya kusafirisha…

Soma Zaidi »

Mtwara wamuenzi Nyerere kuhamasisha uchaguzi

SERIKALI ya Mkoa wa Mtwara kwa kushirikia na wananchi mkoani humo imefanya matembezi ya kumbukizi ya miaka 25 ya kumuenzi…

Soma Zaidi »

Sekta ya madini yaongoza fedha za kigeni

RAIS Samia Suluhu Hassana amesema Sekta ya Madini ndiyo inayoongoza kwa kuliingizia taifa fedha nyingi za kigeni. Akizungumza wakati wa…

Soma Zaidi »

Wadau wafurahishwa onesho la utalii

WADAU mbalimbali nchini wamefurahishwa na onesho la Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024 ) lililoandaliwa na Bodi ya Utalii kwa…

Soma Zaidi »

Changamkieni huduma TTCL-Mha. Mahundi

DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Habari na Mawasiliano, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka Watanzania kuchangamkia huduma za mawasiliano zinazotolewa na…

Soma Zaidi »
Back to top button