Tanzania

SMZ kuendeleza mikakati ya kiuchumi

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi…

Soma Zaidi »

Mariamu Mwinyi kuhudhuria OAFLAD

MAREKANI : MKE wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF),…

Soma Zaidi »

Tanga kuongeza mazao ya samaki

TANGA : MKOA wa Tanga umetangaza mikakati ya kuongeza kiwango cha uzalishaji samaki na mazao ya baharini, ikiwemo  uimarishaji wa…

Soma Zaidi »

Halmashauri zahimizwa ujenzi nyumba za watumishi

HALMASHAURI za wilaya nchini zimetakiwa kutumia fedha za mapato ya ndani kuboresha miundombinu ya maeneo yao ya kutolea huduma ikiwemo…

Soma Zaidi »

Marekani kusaidia tehama Tanzania

DAR-ES-SALAAM:  BALOZI wa Marekani nchini Tanzania, Dk. Michael Battle, amezipongeza juhudi za Tanzania katika matumizi ya teknolojia ya habari na…

Soma Zaidi »

Takukuru yabaini harufu ya rushwa uchaguzi mitaa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebaini maeneo matano yenye ushawishi wa rushwa katika uchaguzi wa serikali za…

Soma Zaidi »

Bil 100/- kupeleka umeme vijijini Kigoma

WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imesema kuwa  zaidi ya Sh Bilioni 100 zitatumjka kutekeleza miradi ya kupeleka umeme vijijini katika…

Soma Zaidi »

Mradi wa maji Geita kufanyiwa majaribio 2025

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita (GEUWASA) imeeleza ifikapo Juni 2025 mradi wa maji wa miji 28…

Soma Zaidi »

Gamondi asisitiza matumizi ya nafasi

KOCHAwa Yanga, Miguel Gamondi amesema wamejipnga kuhakikisha wachezaji wa timu hiyo wanatumia kwa usahihi nafasi watakazotengeneza katika mchezo wa marudiano…

Soma Zaidi »

JNIA yapata tuzo usalama bora Afrika

Soma Zaidi »
Back to top button