Tanzania

Rais Samia awaenzi mashujaa vita Maji Maji

RAIS Samia Suluhu Hassan ametembelea Makumbusho ya Vita vya Maji Maji iliyopo Mjini Songea mkoani Ruvuma kwa lengo la kutoa…

Soma Zaidi »

Mimba za utotoni zapungua 40% Geita

MKOA wa Geita umefanikiwa kupunguza mimba za utotoni kwa takribani asilimia 40 kutoka mimba 20 kwa kipindi cha Januari hadi…

Soma Zaidi »

Wageni Vietnam watembelea Mahakama Tz

DAR ES SALAAM: WAGENI mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali ndani na nje ya Afrika wameridhishwa na hatua za ukuaji wa maendeleo…

Soma Zaidi »

Walimu wapewa fursa za mikopo Uvinza

WALIMU wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Wilaya Uvinza wametakiwa kuchukua mikopo sasa wakiwa katika utumishi ili…

Soma Zaidi »

Dk Biteko amwakilisha Samia kamati kuu chama cha Kikomunisti

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko leo amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika…

Soma Zaidi »

Barabara Biharamulo yazinduliwa rasmi

MRADI wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kilometa 0.75 wenye thamani ya Sh milioni 423 unaolenga kuboresha mazingira…

Soma Zaidi »

Mkuchika awafunda wanafunzi maadili

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini, Kepteni mstaafu George…

Soma Zaidi »

Ujenzi wa barabara ya Iringa, Hifadhi ya Ruaha waiva

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameongoza tukio la kihistoria la kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita…

Soma Zaidi »

Serikali kuajiri watumishi Tabora

MKOA wa Tabora unatarajiwa kupata watumishi wapya zaidi ya 4,000 huku kada ya afya ikipata kipaumbele kikubwa kwenye mgawanyo wa…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi azindua mifumo mitatu ZEEA

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua mifumo mitatu ya Wakala wa…

Soma Zaidi »
Back to top button