Tanzania

Manispaa Iringa yakosolewa mpango wa kukarabati ofisi zake

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego amekosoa mpango wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa unaolenga kukarabati ofisi zake za…

Soma Zaidi »

Wapeni ruhusa wafanyakazi wakamuage Mzee Rukhsa

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa wito kwa watumishi wa serikali, wafanyakazi na wanafunzi kupewa nafasi…

Soma Zaidi »

Polisi: Tulimtumia Mwinyi kama mfano

KAMANDA wa Kamanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne amesema alikuwa akiwahimiza vijana wa jeshi la polisi kufanya…

Soma Zaidi »

TASWA waomboleza msiba wa Mwinyi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo wa Rais Mstaafu wa Awamu…

Soma Zaidi »

Dk Mpango kuongoza waombolezaji Dar

DAR ES SALAAM; MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuongoza shughuli ya kuaga mwili wa Rais mstaafu wa Awamu…

Soma Zaidi »

 Chadema waguswa kifo cha Mwinyi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Rais wa mstaafu wa awamu ya…

Soma Zaidi »

CCM yatoa pole kifo cha Mwinyi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kusikitishwa na kifo cha Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia…

Soma Zaidi »

ATCL yaeleza hitilafu injini ya ndege

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL),Ladislaus Matindi amesema injini moja ya ndege ya kampuni hiyo iliyokuwa ikisafiri kutoka…

Soma Zaidi »

Mzee Mwinyi afariki Dunia akiwa na miaka 98

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo Mzee Mwinyi alikuwa akisumbuliwa na saratani ya mapafu

Soma Zaidi »

Serikali yawataka maoni mafuta, gesi

SERIKALI imewataka wadau mbalimbali kushiriki katika kutoa maoni juu ya upatikanaji wa mrejesho wa CSR kwenye eneo la mafuta na gesi…

Soma Zaidi »
Back to top button