SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) limeanza kutekeleza maagizo ya Raisi Dk Samia Suluhu Hassan ya kutaka shirika hilo kuboresha upatikanaji…
Soma Zaidi »Tanzania
JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 11 wanaojishuhulisha na uganga bila kibali. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa…
Soma Zaidi »TANGA: Timu ya Mkoa na Wawakilishi wa Wilaya (OCD’s) mkoani Tanga leo Januari 11, 2024 imekutana na Mwenyekiti wa Timu ya…
Soma Zaidi »ARUSHA: Mkuu wa Mkoa Arusha,John Mongella amesema hadi kufikia Februari 01, 2024, shule mpya ya Sekondari iliyopewa jina la” Longido…
Soma Zaidi »MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,…
Soma Zaidi »MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imetoa mafunzo kwa asasi za kiraia zinazotoa…
Soma Zaidi »KITUO Cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimebainisha, kutungwa kwa sheria mpya ya uwekezaji ya mwaka 2022 imechagiza ongezeko la usajili wa…
Soma Zaidi »WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa eneo la Kituo cha Maendeleo Dakawa mkoani Morogoro, limekidhi vigezo vya kuwa…
Soma Zaidi »ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amewapatia msamaha kwa kuwaachia huru jumla…
Soma Zaidi »WANANCHI wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Mbunge wa Jimbo la…
Soma Zaidi »



