Tanzania

Wakristo waaswa kumkiri Kristo

DAR ES SALAAM: WAKRISTO wametakiwa wamwambie Mungu ahsante kwa zawadi ya Yesu Kristo kuja ulimwenguni na kuukomboa ulimwengu na ameleta…

Soma Zaidi »

Padri Maziku: Boxing Day haihusiani na jinai

DAR ES SALAAM: KILA ifikapo Desemba 26 ya kila mwaka, waumini wengi wa dini ya kikristo wa madhehebu mbalimbali hutumia…

Soma Zaidi »

Kairuki kuwafungulia fursa wanakilimanjaro

KILIMANJARO: WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angela Kairuki anatarajia kuzindua programu maalum ya ‘Homestay’ inayotoa fursa kwa wananchi wa Kilimanjaro…

Soma Zaidi »

Mabasi matano yazuiliwa stendi Mbeya

MBEYA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha usalama barabarani limeyazuia mabasi matano ya abiria katika Stendi Kuu…

Soma Zaidi »

“Tukikubali na kutii tutakula mema ya nchi”

MTWARA: WAKATI Wakristo Tanzania wakiungana na wengine duniani kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa ya Noel, Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la…

Soma Zaidi »

Dk Mpango: Fundisheni watoto uzalendo

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameelekeza kwa wazazi kulea watoto wao vyema, kuwafundisha uzalendo na kufanya kazi kwa bidii…

Soma Zaidi »

Shirika lawakumbuka watoto wenye uhitaji Krismas

SHIRIKA la maendeleo ya vijana linalopambana na maambukizi ya HIV (YAAPA) limetoa misaada mbalimbali ya vyakula kwa watoto wenye mahitaji…

Soma Zaidi »

“Nawasihi kuzingatia sheria ya usalama barabarani”

MTANDAO: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuzingatia sheria ya usalama barabarani na kuchukua tahadhari na umakini mkubwa katika juma…

Soma Zaidi »

Tuwachangie vifaa vya ujenzi Hanang

HANANG, Manyara: SERIKALI inatoa wito kwa wanaowiwa kutoa misaada kwa waathirika wa maafa ya Hanang, kujikita zaidi katika kutoa misaada…

Soma Zaidi »

Ajali yaua wanane, chanzo mwendokasi na uzembe

KIGOMA: WATU wanane waliokuwa wakisafiri na gari ndogo aina ya Probox Succeed maarufu kama mchomoko wamefariki dunia papo hapo na…

Soma Zaidi »
Back to top button