Tanzania

‘Siku ya Mkulima Shambani itumike kubadilishana uzoefu’ 

WAKULIMA nchini wametakiwa kuitumia Siku ya Mkulima Shambani kujifunza fursa mbalimbali pamoja na kubadilishana uzoefu na kujifunza mbinu bora za…

Soma Zaidi »

SMZ kujenga nyumba 72 za makazi

SHIRIKA la Nyumba la Zanzibar (ZHC) limetiliana saini na Kampuni ya Simba Development ya Dar es Salaam kujenga nyumba za…

Soma Zaidi »

GGML yaajiri wazawa 90%, serikali yapongeza

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining…

Soma Zaidi »

Wapongeza agizo mikopo kupitia benki

WATU wenye ulemavu wilayani Misungwi, mkoani hapa, wamepongeza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kupitisha mikopo ya makundi maalum…

Soma Zaidi »

Tanzania yaomba makao makuu baraza la michezo Afrika

TANZANIA imeomba kuwa Makao Makuu ya kudumu ya Kamati ya Baraza la Wataalamu wa Michezo Kanda ya IV Afrika lengo…

Soma Zaidi »

TRA yazindua kampeni uhamasishaji risiti EFD

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema imezindua kampeni ya TUWAJIBIKE inayohamasisha wafanyabiashara kuwajibika kutoa risiti halali ya mashine za kielektroniki…

Soma Zaidi »

TRA yazindua kampeni utoaji risiti EFD

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua kampeni maalumu ya TUWAJIBIKE yenye lengo kuwakumbusha wafanyabiashara wote na watoa huduma kutoa risiti…

Soma Zaidi »

Wadau utalii watakiwa kutoa huduma za viwango

WADAU wanaohusika na utalii nchini wametakiwa kutoa huduma za viwango ili kuwafanya watalii kuwa mabalozi baada ya kuja Tanzania na…

Soma Zaidi »

‘Serikali inaunga mkono uwekezaji uchumi wa buluu’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inaunga mkono uwekezaji katika maeneo ya…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ateua Naibu CAG

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi amemteua Dk Said Khamis Juma kuwa Naibu Mkaguzi…

Soma Zaidi »
Back to top button