Tanzania

Mkandarasi apewa miezi 4 shamba la mbegu Msimba likamilike

NAIBU Waziri wa Kilimo,  Anthony Mavunde,  amemtaka mkandarasi anayejenga miundombinu ya umwagiliaji katika shamba la Wakala wa Mbegu za Kilimo…

Soma Zaidi »

Dk Mabula azindua kitabu cha uendelezaji miji

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula amezindua kitabu kinachojulikana kwa jina la ‘Bulding the Just…

Soma Zaidi »

Bandari kavu ya kwala kuanza kutoa huduma hivi karibuni

BANDARI Kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani inatarajiwa kuanza kufanya kazi muda wowote pamoja na kutoa huduma zote za kiforodha…

Soma Zaidi »

Barabara Hifadhi  ya Ruaha yawaibua tena wadau

WADAU wa utalii wameendelea kuiomba serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya lami kuelekea hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ubovu…

Soma Zaidi »

Tanzania mwenyeji mkutano hali ya hewa

TANZANIA imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Kamati ya Kuchakata Data za Hali ya Hewa Duniani, lengo ikiwa ni kuhakikisha data…

Soma Zaidi »

Tulia amfagilia Rais Samia kwa maono kwenye kilimo

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson, amesema Tanzania itailisha dunia na itatambua kuwa yanatoka Tanzania. Pia amempongeza Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Rais Samia ataka matokeo kilimo biashara

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali itatimiza ahadi yake kuwezesha vijana kulima kibiashara kupitia programu ya mashamba makubwa na hataki…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maagizo 5 kukitangaza Kiswahili  

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka waandishi wa habari na wadau wote wa Kiswahili waweke mkakati wa pamoja wa kuitangaza lugha…

Soma Zaidi »

Wabunge waridhishwa ujenzi mabweni VETA

KAMATI ya Kudumu  ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeridhishwa na matumizi ya fedha kwenye  ujenzi wa mradi wa…

Soma Zaidi »

Hakuna kiingilio Tamasha la Pasaka

TAMASHA la Pasaka linanatarajiwa kufanyika viwanja vya Leaders Club Aprili 9,2023 jijini Dar es Salaam na hakutakuwa na kiingilio. Akizungumza…

Soma Zaidi »
Back to top button