Tanzania

Vyombo vya ulinzi vyatajwa nguzo muhimu ya amani nchini

NAFASI ya vyombo vya ulinzi na usalama inaendelea kuwa mhimili muhimu katika kulinda amani na utulivu wa muda mrefu nchini.…

Soma Zaidi »

Tanzania haijajibu malalamiko ya Ulaya kuhusu uteuzi wa ICC

DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania bado haijatoa kauli ya wazi kufuatia ukosoaji unaoibuka kutoka baadhi ya duru za kisheria…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini wataka umoja, upendo, maadili, wakemea uovu

VIONGOZI wa dini yaKikristo wamewataka waumini wa dini hiyo na Watanzania kuenzi umoja na kuendelea kushikamana katika upendo na kutumia…

Soma Zaidi »

Ngorongoro kuwa darasa la waongoza watalii

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema msimu wa 11 wa mashindano ya waongoza watalii ya Safari…

Soma Zaidi »

Tanzania isiangukie mtego wa machafuko Afrika

KATIKA kipindi ambacho sehemu mbalimbali za Afrika zinakumbwa na changamoto za migogoro, machafuko na mivutano ya kisiasa, Tanzania inaendelea kusimama…

Soma Zaidi »

HESLB yakusanya bil 60/- miezi mitatu

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanza mwaka 2026 kwa kasi ikivuka malengo kwa kukusanya zaidi…

Soma Zaidi »

Rais Samia apongezwa kuteua mpinzani

WADAU wa siasa na wananchi wamewatwika mzigo wa majukumu viongozi wapya walioteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakiwataka watekeleze majukumu…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini wakataa migongano,vita

VIONGOZI wa dini ya Kikristo nchini wamewataka waumini wa dini hiyo kudumisha upendo, msamaha na kukataa migongano na vita. Wameeleza…

Soma Zaidi »

Umoja Ni Nguzo ya Amani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza umuhimu wa kulinda amani, umoja na mshikamano…

Soma Zaidi »

Wakimbizi waliotoroka kambini kusakwa Kigoma

SERIKALI mkoani Kigoma imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuwasaka wahamiaji haramu wakiwemo wakimbizi wa Burundi wanaodaiwa kukimbia makambini na kuishi…

Soma Zaidi »
Back to top button