Zanzibar

Rais Dk Mwinyi afanya mabadiliko madogo baraza la mawaziri

ZANZIBAR, Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi, leo 27 januari 2024 amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri, na kuteua…

Soma Zaidi »

Rais Dk Mwinyi akubali ombi waziri wa utalii kujiuzulu

RAIS wa Zanzibar ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ally Mwinyi amekubali ombi la kujiuzulu kwa Waziri…

Soma Zaidi »

Salamu za Rais Samia Miaka 60 ya Mapinduzi

ZANZIBAR: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelea kuwashukuru, kuwapongeza na kuwaombea dua waasisi wa taifa ambao walifungua milango…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi atunuku Nishani 17

IKULU, Zanzibar: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewatunuku Nishani watunukiwa 17 ambao ni viongozi, askari na wananchi. Miongoni…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 25 Chuo cha Mafunzo wapatiwa msamaha

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amewapatia msamaha kwa kuwaachia huru jumla…

Soma Zaidi »

Dk Biteko: Wazanzibari ni wakarimu sana

UNGUJA, Zanzibar: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko amesema tangu amefika visiwani Zanzibar, amevutiwa na ukarimu,…

Soma Zaidi »

Zanzibar kujenga bandari ya kisasa

UNGUJA, Zanzibar: RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa bandari mpya ya abiria eneo la Mpiga Duri…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi adhamiria kumaliza changamoto katika elimu

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakaribia kumaliza ujenzi wa madarasa 5,000 kuondoa zamu mbili kwa…

Soma Zaidi »

Serikali Zanzibar yaanzisha kituo elimu mjumuisho

ZANZIBAR, Serikali ya Zanzibar imeendelea kuweka kipaumbele kwa watu wenye ulemavu kwa kuweka msisitizo katika kuboresha mazingira ya elimu kwa…

Soma Zaidi »

Wabuni boti ya plastiki, kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

UNGUJA, Zanzibar: BOTI ya chupa za plastiki ni moja ya kivutio kinachopatikana ndani ya Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Boti hii,…

Soma Zaidi »
Back to top button