Zanzibar

ZIPA: Mkutano uwekezaji utahamasisha fursa uwekezaji

MAMLAKA ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imesema Mkutano wa Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar unalenga kuhamasisha fursa mpya za uwekezaji…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi awakaribisha wawekezaji kutoka Uingereza

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Uingereza kuwekeza  Zanzibar katika…

Soma Zaidi »

Polisi kuimarisha usalama uchaguzi mkuu 2025

ZANZIBAR: JESHI la Polisi limeeleza kuwa limejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika katika mazingira ya amani na utulivu. Kauli hiyo imetolewa…

Soma Zaidi »

Polisi kuimarisha ulinzi Kusini Unguja siku ya Eid El-Fitr

JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limeahidi kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya mkoa huo wakati wa Sikukuu ya…

Soma Zaidi »

Rais Dk. Mwinyi aipongeza Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Mafanikio  ya Ukuaji wa…

Soma Zaidi »

Mwinyi: Quraan ni urithi muhimu kwa vijana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa rai ya kuyafanya Mashindano ya Kuhifadhi…

Soma Zaidi »

Zanzibar yakamilisha kuandikisha wapya

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imekamilisha uandikishaji wa wapiga kura wapya katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, linalotarajiwa…

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi akabidhi sadaka Pemba

PEMBA : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewashukuru na kuwapomgeza wadau mbalimbali waliojitokeza…

Soma Zaidi »

Mwinyi: SMZ itaendelea kuimarisha sekta ya elimu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali vu Mwinyi amesema Serikali itaendelea Kuimarisha Miundombinu ya…

Soma Zaidi »

Mwinyi: SMZ mstari wa mbele fursa kiuchumi kwa wanawake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button