MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya ligi inaendelea leo kwa michezo nane ya raundi 4 katika viwanja tofauti.
Aston Villa ndio inayongoza hatua hiyo yenye timu 36 ikiwa na pointi 9 baada ya michezo mitatu huku Slovan Bratislava ikiwa mwisho wa msimamo haina pointi.
SOMA: Ni hekaheka Ligi ya Mabingwa Ulaya leo
Michezo inayopigwa leo ni kama ifuatavyo:
PSV Eindhoven vs Girona
Slovan Bratislava vs Dinamo Zagreb
Borussia Dortmund vs Sturm Graz
Celtic vs RB Leipzig
Lille vs Juventus
Liverpool vs Bayer Leverkusen
Real Madrid vs AC Milan
Sporting CP vs Manchester City