Laliga kuanza kutimua vumbi leo

LIGI Kuu Hispania-Laliga msimu wa 2024/2025 inaanza kutimua vumbi leo kwa michezo miwili.

Athletic Club na Getafe ndizo zitafungua dimba kwenye uwanja wa San Mames uliopo jiji la Bilbao.

Katika mechi itakayofuata Real Betis itakuwa mwenyeji wa Girona kwenye uwanja wa Benito Villamarin uliopo jiji la Seville.

Bingwa mtetezi wa Laliga ni Real Madrid.

SOMA: Mourinho:Nilipata kazi timu ya taifa, Madrid waligoma

Ratiba ya michezo mingine ya ufunguzi Laliga ni kama ifuatavyo:

Agosti 16
Celta Vigo vs vs Deportivo Alaves
Las Palmas vs Sevilla

Agosti 17
Osasuna vs Leganes
Valencia vs Barcelona

Agosti 18
Real Sociedad vs Rayo Vallecano
Mallorca vs Real Madrid

Agosti 19
Real Valladolid vs Espanyol
Villarreal vs Atletico Madrid

Habari Zifananazo

Back to top button