Madiwani waonywa vurugu kwenye halmashauri

KIGOMA: MADIWANI katika halmashauri za wilaya, miji na majiji wametakiwa kutokuwa chanzo cha vurugu zinazoweza kuchangia kuzorotesha uhusiano baina ya watendaji na madiwani na kukwamisha shughuli za maendeleo nchini na ukusanyaji mapato.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Sospeter Mtwale amesema hayo akifunga mafunzo kwa madiwani wa Halmshauri ya wilaya Kigoma na manispaa ya Kigoma Ujiji ikiwa ni hitimisho la mafunzo kwa wajumbe wa mabaraza ya madiwani katika halmashauri 184 nchini.

Mtwale alisema kuwa madiwani wanapaswa kuwa kichocheo katika kubuni, kusimamia utekelezaji wa shughuli za maendeleo za halmashauri, kuchochea ukusanyaji mapato na kusimamia rasilimali watu, fedha na rasilimali zilizopo kwenye hamashauri ikiwemo rasilimali ardhi ambayo ndiyo msingi wa rasilimali kuu ya halmashauri.

Kufuatia mafunzo hayo, kiongozi huyo amesema kuwa mafunzo hayo yatawajenga madiwani kujua wajibu na mipaka ya utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo kujua mipaka na viwango vya stahiki zao na kwa kuzingatia sheria na kanuni zilizopo madiwani watakuwa chachu kubwa ya kuleta maendeleo kwenye halmashauri zao.

Akieleza madhumuni ya mafunzo hayo yaliyotolewa na chuo ch serikali za mitaa Hombolo, Mkuu wa chuo hicho, Dk.Yusuph Mashala amesema mafunzo yalilenga kuwajengea uwezo madiwani kujua wajibu, majukumu, mipaka ya utendaji wao na nafasi yao katika kuchochea maendeleo kwenye halmashauri zao na jukumu la kusimamia maendeleo, ukusanyaji wa mapato na matumizi ya halmashauri.

Akizungumza kwa niaba ya madiwani wa halmashauri hizo mbili za mkoa Kigoma zilizokamilisha mafunzo hayo Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mussa Maulid alisema kuwa mafunzo hayo yatakuwa nyenzo kubwa kwa madiwani kwani yatawawezesha kutambua majukumu yao na mipaka yao na kuondoa sintofahamu zilizokuwa zikijitokeza kwa kutojua mambo mengi ambayo hayakupaswa kufanyika kisheria na kanuni za halmashaurii.

Habari Zifananazo

8 Comments

  1. ## 📢 TANGAZO RASMI LA AJIRA – WAHARIRI 3,456

    Kampuni ya **Waja** inawatangazia nafasi za ajira kwa **Wahariri 3,456** watakaoshiriki katika kuhariri kitabu cha simulizi za kijamii chenye kichwa cha habari:

    ### 📘 *“Simulizi za Anti-Social: Aliyetakiwa Kujua kwa Lazima Nini Wanadamu Wanajiua na Kuuwawa Kwenye Ardhi na Hewa ya Mwenyezi Mungu”*

    Kitabu hiki kinachambua kwa kina masuala ya kijamii yanayohusu mienendo ya binadamu, changamoto za kisaikolojia, na athari zake katika jamii.

    ### 📌 Majukumu ya Mwombaji:

    * Kuhariri na kusahihisha maandishi kwa Kiswahili sanifu.
    * Kuboresha mtiririko wa simulizi na mpangilio wa hoja.
    * Kurekebisha makosa ya kisarufi, tahajia na kimantiki.
    * Kuhakikisha maudhui yanabaki katika dhamira ya mwandishi.
    * Kufanya uhakiki wa mwisho kabla ya uchapishaji.

    ### 📌 Sifa Zinazohitajika:

    * Awe na elimu ya Astashahada/Diploma au zaidi katika Kiswahili, Fasihi, Mawasiliano au taaluma zinazofanana.
    * Awe na uzoefu wa uhariri wa vitabu, makala au machapisho.
    * Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa nidhamu na kukamilisha kazi kwa muda uliopangwa.
    * Awe na umakini mkubwa kwa maelezo na maudhui nyeti ya kijamii.

    ### 📌 Namna ya Kutuma Maombi:

    Waombaji watume:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Nakala za vyeti
    * Mfano wa kazi aliyowahi kuhariri (ikiwa ipo)

    Maombi yatumwe kupitia barua pepe: **[hr@waja.co.tz](mailto:hr@waja.co.tz)**
    Mwisho wa kutuma maombi: (Tarehe itawekwa)

    Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi za **Waja** wakati wa saa za kazi.

    1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

  2. ## 📢 TANGAZO RASMI LA AJIRA – WAHARIRI 3,456

    Kampuni ya **Waja** inawatangazia nafasi za ajira kwa **Wahariri 3,456** watakaoshiriki katika kuhariri kitabu cha simulizi za kijamii chenye kichwa cha habari:

    ### 📘 *“Simulizi za Anti-Social: Aliyetakiwa Kujua kwa Lazima Nini Wanadamu Wanajiua na Kuuwawa Kwenye Ardhi na Hewa ya Mwenyezi Mungu”*

    Kitabu hiki kinachambua kwa kina masuala ya kijamii yanayohusu mienendo ya binadamu, changamoto za kisaikolojia, na athari zake katika jamii.

    ### 📌 Majukumu ya Mwombaji:

    * Kuhariri na kusahihisha maandishi kwa Kiswahili sanifu.
    * Kuboresha mtiririko wa simulizi na mpangilio wa hoja.
    * Kurekebisha makosa ya kisarufi, tahajia na kimantiki.
    * Kuhakikisha maudhui yanabaki katika dhamira ya mwandishi.
    * Kufanya uhakiki wa mwisho kabla ya uchapishaji.

    ### 📌 Sifa Zinazohitajika:

    * Awe na elimu ya Astashahada/Diploma au zaidi katika Kiswahili, Fasihi, Mawasiliano au taaluma zinazofanana.
    * Awe na uzoefu wa uhariri wa vitabu, makala au machapisho.
    * Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa nidhamu na kukamilisha kazi kwa muda uliopangwa.
    * Awe na umakini mkubwa kwa maelezo na maudhui nyeti ya kijamii.

    ### 📌 Namna ya Kutuma Maombi:

    Waombaji watume:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Nakala za vyeti
    * Mfano wa kazi aliyowahi kuhariri (ikiwa ipo)

    Maombi yatumwe kupitia barua pepe: **[hr@waja.co.tz](mailto:hr@waja.co.tz)**
    Mwisho wa kutuma maombi: (23/2/5000)

    Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi za **Waja** wakati wa saa za kazi.

  3. ## 📢 TANGAZO RASMI LA AJIRA – WAHARIRI 3,456

    —..

  4. ## 📢 TANGAZO RASMI LA AJIRA – WAHARIRI 3,456

    —…

    Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi za **Waja** wakati wa saa za kazi.

  5. ## 📢 TANGAZO RASMI LA AJIRA – WAHARIRI 3,456

    Kampuni ya **Waja** inawatangazia nafasi za ajira kwa **Wahariri 3,456** watakaoshiriki katika kuhariri kitabu cha simulizi za kijamii chenye kichwa cha habari:

    ### 📘 *“Simulizi za Anti-Social: Aliyetakiwa Kujua kwa Lazima kwa Nini Wanadamu Wanajiua na Kuuwawa Kwenye Ardhi na Hewa ya Mwenyezi Mungu”*

    Kitabu hiki kinachambua kwa kina masuala ya kijamii yanayohusu mienendo ya binadamu, changamoto za kisaikolojia, na athari zake katika jamii.

    ### 📌 Majukumu ya Mwombaji:

    * Kuhariri na kusahihisha maandishi kwa Kiswahili sanifu.
    * Kuboresha mtiririko wa simulizi na mpangilio wa hoja.
    * Kurekebisha makosa ya kisarufi, tahajia na kimantiki.
    * Kuhakikisha maudhui yanabaki katika dhamira ya mwandishi.
    * Kufanya uhakiki wa mwisho kabla ya uchapishaji.

    ### 📌 Sifa Zinazohitajika:

    * Awe na elimu ya Astashahada/Diploma au zaidi katika Kiswahili, Fasihi, Mawasiliano au taaluma zinazofanana.
    * Awe na uzoefu wa uhariri wa vitabu, makala au machapisho.
    * Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa nidhamu na kukamilisha kazi kwa muda uliopangwa.
    * Awe na umakini mkubwa kwa maelezo na maudhui nyeti ya kijamii.

    ### 📌 Namna ya Kutuma Maombi:

    Waombaji watume:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Nakala za vyeti
    * Mfano wa kazi aliyowahi kuhariri (ikiwa ipo)

    Maombi yatumwe kupitia barua pepe: **[hr@waja.co.tz](mailto:hr@waja.co.tz)**
    Mwisho wa kutuma maombi: (23/2/5000)

    Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi za **Waja** wakati wa saa za kazi.

  6. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    Here is I begun— http://www.giftpay7.vip

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button