Naibu Mwanasheria Mkuu akutana na Askofu Malasusa

DODOMA; Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samwel M. Maneno amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa, Ofisini kwake Mtumba jijini, Dodoma, Oktoba 13, 2026.

Katika ziara hiyo Askofu Malasusa aliambatana na Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Goodluck Nkini na Mzee wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Lawson Mwanjisi.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button