Ndolezi autaka ubunge jimbo la Kigoma Kusini

KIGOMA: WAZIRI Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Mhandisi Ndolezi Petro amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini.
SOMA ZAIDI: Ndolezi: Kunahitajika Baraza la Vijana la Taifa
Ndolezi amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa jimbo hilo, Mussa Yakubu Nzigamiye katika ofisi za jimbo hilo la zilizopo Nguruka Kigoma.
SOMA ZAIDI: Ndolezi ashauri nguvu zaidi kwenye teknolojia