Rais Samia ateua Mwenyekiti Bodi Tanesco

DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua  Plasdus Mbossa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu, ikimnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, imesema: “Plasdus Mkeli Mbossa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)”.

 

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button