Saudia, Caf wakubaliana miaka mitano kibiashara

Saudi Arabia imeingia kwenye ushirikiano wa kihistoria wa miaka mitano na soka la Afrika ukihusisha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Shirikisho la Soka la Saudi Arabia (SAFF)

“Mkataba uliosainiwa utazingatia mipango na maendeleo ya kiufundi na soka katika klabu na Mataifa, soka la wanawake, kusaka vipaji, mashindano, michezo ya kirafiki na fursa za kibiashara.” imeeleza taarifa ya CAF

Makubaliano mengine ya CAF ni juu ya kampeni ya Visit Saudi, mkataba unaosimamia kutangaza utalii nchini Saudi Arabia ambao ni wafadhili wakuu wa African Football League (AFL) itakayoanza Oktoba 20 hadi Novemba 11, 2023 ikihusisha vilabu nane bora barani Afrika.

Habari Zifananazo

2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button