Serikali yatoa neno adhabu ya Mwakinyo

DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema kuna haja ya kufuatilia mwenendo wa mashtaka ili kubaini uhalali wa adhabu iliyotolewa na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) ya kumfungia bondia Hassan Mwakinyo.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro wakati akizungumza na waandishi wa habari nje ya ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) jijini Dar es Salaam.

“Sisi kama wizara tutakaa na BMT (Baraza la Michezo la Taifa), lakini tutakaa pia na TPBRC, ili kuweza kupata taarifa rasmi ya nini kimetokea na misingi ya hiyo adhabu, baada ya kupata taarifa hiyo ndipo tutashauriana na wahusika wote namna adhabu hiyo ilivyotolewa, uhalali wake kama adhabu hiyo ni sahihi ataitumikia, iai kama kuna mushkeli kidogo tutakaa na kushauriana kuona tunafanyaje,” amesema waziri huyo.

Oktoba 10, 2023 TPBRC ilitangaza kumfungia Mwakinyo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha mwaka mmoja na faini ya Sh milioni moja kwa kinachoelezwa Septemba 29 mwaka huu, bondia huyo aligomea kupanda ulingoni katika pambano lililofahamika ‘The Return of Champ’ huku pambano lake likiwa ndio kuu.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Work AT Home
Work AT Home
1 month ago

I make $100h while I’m daring to the furthest corners of the planet. Last week I worked by my PC in Rome, Monti Carlo finally Paris… This week I’m back in the USA. All I do are basic tasks from this one cool site. see it, 

Copy Here→→→→→ http://Www.Smartcash1.com

Last edited 1 month ago by Work AT Home
KILLER
KILLER
1 month ago

Utaongea mwenyewe kuwa KAFA LAKINI ALIJENGA GOROFA MTAA WA SABA – HISTORIA YAKE TAYARI IMEANDIKWA 2023..
file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg
MAANA YAKE KUFA KWA NGOMA AU MUUWAJI ANA MAANA/NGUVU/MAONO KULIKO RAIS TUSHIRIKISHE HISTORIA YAKO TAFADHARI!!!!!!!!?.

MargieHolland
MargieHolland
Reply to  KILLER
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by MargieHolland
KILLER
KILLER
1 month ago

Utaongea mwenyewe kuwa KAFA LAKINI ALIJENGA GOROFA MTAA WA SABA – HISTORIA YAKE TAYARI IMEANDIKWA 2023..
file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg
MAANA YAKE KUFA KWA NGOMA AU MUUWAJI ANA MAANA/NGUVU/MAONO KULIKO RAIS TUSHIRIKISHE HISTORIA YAKO TAFADHARI!!!!!!!!?..

KILLER
KILLER
1 month ago

*********TULIZANI TUPO TAYARI KUISHI……

DOWNLOAD HAPA UAPATE NGUVU ZA KIUME

Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x