Simba wakijinafasi uwanjani

ZANZIBAR; SEHEMU ya mashabiki wa Simba waliojitokeza Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar tayari kushuhudia mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu hiyo na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini utakaofanyika leo Aprili 20, 2025 kuanzia saa 10 alasiri. (Picha kwa hisani ya Simba).

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button