SUPER SUNDAY: Man United X Liverpool

LIVERPOOL itatumia saa 1 na dakika 20 ambazo sawa na kilomita 50 kutoka jiji la Liverpool hadi Manchester kuifuata Man United katika mchezo wa EPL utakaopigwa saa 12 jioni ya leo.

Kuelekea mchezo huo utakaopigwa Ol Trafford, United itakosa huduma ya beki wao mpya Yoro ambaye United ilitoa taarifa za kufanyiwa upasuaji baada ya kuumia.

Kikosi cha Manchester United 

SOMA: Man United yapanga kumuuza Sancho kwa vigogo

Kwa Liverpool itakuwa kipimo chao cha kwanza msimu huu kucheza mchezo mkubwa baada ya ujio wa kocha mpya Arne Slot.

Kikosi cha Liverpool

Mpaka sasa Liverpool imeshinda michezo miwili ya kwanza ya ligi, wakati United tayari imepoteza mmoja dhidi ya Brighton katika michezo miwili.

Uwanja wa Old Trafford

PREDICTED LINE UP:

UNITED: Onana, Dalot, Maguire, Martinez Mazraoui, Maino, Casemiro, Bruno, Anthony, Garnacho, Rashford.

LIVERPOOL: Allison, Trent, Virgil, Konate, Robertson, MacAllister Gravenberch, Szoboszlai, Salah, Jota, Diaz.

Habari Zifananazo

Back to top button