Tume yakutana na Makamu wa Rais Mstaafu

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari 5, 2026, imekutana na Makamu wa Rais mstaafu, Dkt. Philip Mpango mjini Dodoma.

Katika kikao hicho, Tume na Dk. Mpango wamejadili namna matukio ya uvunjifu wa amani yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu, pamoja na ushauri wa namna ya kuzuia na kuondokana na matukio kama hayo siku zijazo.

Tume hiyo inayoongozwa na Jaji Mstaafu  bado inaendelea kukutana na makundi mbalimbali yakiwemo waathirika wa matukio hayo lengo ni kukusanya taarifa za tukio la uvunjifu wa amani lililotokea Oktoba 29, mwaka huu. SOMA: . Tume yakutana na wananchi Dodoma

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button