Vifo vyafikia 20 Kariakoo

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mpaka sasa watu 20 wamepoteza maisha katika ajali ya kuanguka kwa ghorofa Novemba 16, eneo la Kariakoo.

Akizungumza leo katika eneo la tukio mara baada ya kujionea hali ilivyo, Rais Samia amesema licha ya jitihada za serikali kuokoa waliokumbwa na janga hilo: “Lakini tunavyoambiwa jitihada haiondoshi kudra ya Mungu,” amesema Rais Samia.

Advertisement