MICHUANO ya Ligi ya Europa barani Ulaya hatua ya ligi inaendelea leo kwa michezo 16 katika viwanja tofauti.
Galatasaray ya Uturuki inaongoza ligi hiyo iliyofanyiwa mabadiliko ya mfumo ikiwa na pointi 7 baada ya michezo 3.
SOMA: Kombe la UEFA Super kupigwa Poland leo
Besiktas pia ya Uturuki ipo mwisho wa msimamo haina pointi baada ya michezo 2.
Mechi zinazopigwa leo ni kama ifuatavyo:
Eintracht Frankfurt vs RFS
FC Midtjlyland vs Union St. Gilloise
Ferencvaros vs Nice
Maccabi Tel Aviv vs Real Sociedad
PAOK FC vs Viktoria Plzen
Qarabag FK vs Ajax
Roma vs Dynamo Kyiv
Anderlecht vs Ludogorets Razgrad
Athletic Club vs Slavia Prague
FC Porto vs Hoffenheim
FC Twente vs Lazio
Fenerbahce vs Manchester United
Lyon vs Besiktas
Malmo FF vs Olympiacos
Rangers vs FCSB
Tottenham Hotspur vs AZ Alkmaar