Waamuzi Yanga v Simba wanatoka Misri

DAR ES SALAAM; MWAMUZI Amin Mohamed Omar kutoka nchini Misri atasimamia sheria zote za soka katika pambano la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba Jumatano wiki hii Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Taarifa ya Bodi ya Ligi (TPLB, imeeleza kuwa mwamuzi huyo atasaidiwa na Mahmoud Ahmed Abo na Samir Gamal Saad, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Ahmed Mahrous wote kutoka Misri. Mtathimini waamuzi ni Ali Mohamed kutoka Somalia.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button