Wagombe ACT waendelea kuomba kura za maoni uchaguzi

ZANZIBAR: Wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na ubunge Viti Maalum na Uwakilishi Viti Maalum, wakiendelea kuomba kura katika uchaguzi wa kura za maoni unaoendelea katika Jimbo la Bumbwini.
Wananchi mbalimbali wakiendelea kushiriki zoezi hilo Zanzibar