Yanga kuvaana na TP Mazembe CAF

YANGA SC imepangwa kundi A katika hatua ya makundi kwenye michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika ambapo itakwenda kuchuana na; Al Hilal (Sudan) MC Alger (Algeria) TP Mazembe (DR Congo).
Al Hilal (Sudan)
MC Alger (Algeria)
TP Mazembe (DR Congo)
Sasa ni Muda wa Droo ya 𝐖𝐀𝐊𝐔𝐁𝐖𝐀 #CAFCL🔰💪🏽#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/6mfUAecwsV
— Young Africans SC (@YoungAfricansSC) October 7, 2024
Mjumbe wa kamati ya utendaji Alexander Ngai ameshawasili kushuhudia Droo ya #CAFCL Tupo LIVE kupitia Yanga TV (YouTube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/caowlFjYAZ
— Young Africans SC (@YoungAfricansSC) October 7, 2024



