Year: 2024

Tanzania

Ziara TRA zavuka malengo ukusanyaji mapato

MAMLAKA ya Mapato (TRA) imesema vikao na ziara wanazofanya kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia changamoto zinazowakabili wafanyabiashara katika ulipaji kodi umechochea…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wadau waiomba CBT kuboresha takwimu za wakulima

WADAU mbalimbali wa zao la korosho wameiomba Bodi ya Korosho Tanzanzani (CBT) kuendelea kuboresha zoezi la uhaulishaji wa kanzidata za…

Soma Zaidi »
Featured

Majaliwa kukagua, kuweka jiwe msingi shule Mwanza

MAPOKEZI ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo. Anatarajiwa kukagua na kuweka jiwe la msingi…

Soma Zaidi »
Featured

Freeman Mbowe kugombea uenyekiti Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema yupo tayari kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho. Mbowe ametangaza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Same wamshukuru mbunge kuwapa misaada

WANANCHI wa Jimbo la Same Magharibi wamemshukuru Mbunge wa jimbo hilo, Dk, David Mathayo kwa kusaidia vifaa mbalimbali ikiwemo utatuzi…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Mwanziva ataka ubora barabara ya Mtange – Kineng’ene

MKUU wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva ameuagiza Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Lindi kusimamia ubora…

Soma Zaidi »
Tanzania

Taasisi yasisitiza kulinda bunifu mpya

TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela(NM- AIST) imesisitiza kulinda bunifu mpya zinazoonyeshwa na wanafunzi wa shule…

Soma Zaidi »
Utalii

Chana ataka watumishi wabunifu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Pindi Chana amewaasa watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kutekeleza…

Soma Zaidi »
Gesi

Tanzania, Saudia Arabia kushirikiana nishati

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika kuimarisha sekta ya nishati hususan katika…

Soma Zaidi »
Featured

TRA kuvunja rekodi ukusanyaji kodi Desemba

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kukusanya Sh trilioni 3.49 kwa Desemba, 2024 kiasi ambacho hakijawahi kukusanywa tangu kuanzishwa kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button