Year: 2024

Uchumi

Viwanja vya ndege kuchunguzwa kudhibiti uhalifu

ZANZIBAR; SERIKALI imeanza uchunguzi maalumu kubaini upungufu katika viwanja vyote vya ndege nchini na kuzifanyia kazi ikiwemo mifumo, utendaji na…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali kuwasilisha bajeti yake Alhamisi

SERIKALI inatarajiwa kuwasilisha mapendekezo ya bajeti yake mwaka 2024/2025 wiki hii. Bajeti hiyo itakayosomwa Alhamisi na Waziri wa Fedha, Dk…

Soma Zaidi »
Tanzania

Biteko: Mgawo ulinikosesha amani

GEITA;NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko alisema miezi michache iliyopita, tatizo la mgawo wa umeme lilikuwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia akerwa migogoro ya familia

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kujenga jamii na taifa kiroho ikiwa ni njia ya kukabili kuporomoka kwa…

Soma Zaidi »
Biashara

TAP TAP UTOBOE: Kuwajaza wateja fedha, bajaji na gari

Dar es Salaam: BENKI ya Exim Tanzania imezindua kampeni maalum inayolenga kuwashawishi wateja wake wanaomiliki simu za mkononi kufanya miamala…

Soma Zaidi »
Bunge

LATRA kusajili vikundi vya bodaboda

DODOMA: MAMLAKA ua Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imepewa jukumu la kusajili vikundi vya waendesha bodaboda nchini. Bunge limeelezwa. Maelezo hayo…

Soma Zaidi »
Bunge

Wanafunzi 500 kupewa nafasi vyuo vya wenye ulemavu

DODOMA; SERIKALI imesema mwaka 2024/2025 imepanga kupitia vyuo vyake vya watu wenye ulemavu kudahili wanafunzi 1500 kati yao wasio na…

Soma Zaidi »
Bunge

Mazingira Kitulo yachelewesha pundamilia, swala kuongezeka

DODOMA; SERIKALI imesema wanyamapori waliohamishiwa Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, wamechelewa kuzaliana kutokana na kubadili mazingira ya awali, lakini baada…

Soma Zaidi »
Bunge

Ushirikiano TBS, ZBS waleta matokeo chanya

DODOMA; USHIRIKIANO kati ya Shirika la Viwango nchini (TBS) na lile linalosimamia viwango Zanzibar (ZBS), umeleta matokeo chanya kutatua changamoto…

Soma Zaidi »
Bunge

Sh Bil 18 zahitajika kujenga mitaro Tabora

DODOMA: SERIKALI imesema kiasi cha Sh bilioni 18 kinahitajika kujenga mitaro mikubwa ili kukabiliana na mafuriko katika Mji wa Tabora.…

Soma Zaidi »
Back to top button