Year: 2024

Jamii

Mwandishi HabariLEO atwaa tuzo mabadiliko tabianchi

DAR ES SALAAM; MWANDISHI wa gazeti la HabariLEO na Dailynews Digital, Aveline Kitomary ameibuka mshindi wa kwanza katika Tuzo ya…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

‘Utumiaji akili bandia utatoa takwimu za haraka’

UTUMIAJI wa akili bandia na njia nyingine katika utafiti utawezesha kutoa takwimu za haraka ambazo zitawezesha serikali kufanya mipango ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tabora United: Tumemalizana vizuri na Goran

MSEMAJI wa Tabora United Christina Mwagala ameweka wazi kwamba hawadaiwi na aliyekuwa kocha wao Goran Copunovic waliyesitisha mkataba wake kutokana…

Soma Zaidi »
Sanaa

Laura Witherspoon mambo yake si mchezo

MAREKANI; LAURA Jeanne Reese Witherspoon ni msanii wa Marekani mwenye kipaji cha uigizaji, aliyezaliwa Machi 22, 1976 katika Hospitali ya…

Soma Zaidi »
Jamii

DED kortini kesi ya uhujumu uchumi

KATAVI; TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imewaunganisha washitakiwa wengine saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya…

Soma Zaidi »
Jamii

REA, TANESCO kuongeza umeme Msomera

HANDENI, Tanga: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia ubia na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuanza utekelezaji wa Awamu ya…

Soma Zaidi »
Uchumi

Wanawake wapewa 5 sekta ya uvuvi

DAR ES SALAAM: Wanawake wachakataji na wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi barani Afrika wametajwa kuwa na mchango mkubwa katika sekta…

Soma Zaidi »
Jamii

Mafuriko yaacha maafa Kilosa

MOROGORO: WATU 1, 404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro huku nyumba 351…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Tanzania yaelezea uzoefu wake wa kidijiti Uswisi

GEVEVA, USWISI: Mkutano wa kwanza wa Bodi ya Ubunifu wa Kidijitali ya Shirika la Mawasiliano duniani (ITU) umefanyika jijini Geneva,…

Soma Zaidi »
Jamii

Zari aikumbuka jamii

DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara Zari Hassan kesho anatarajia kwenda kuwatembelea wazazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kugawa nepi za…

Soma Zaidi »
Back to top button