Year: 2024

Jamii

Ofisa elimu kizimbani kwa kusababisha vifo vya watatu

MWANZA: OFISA Elimu Taaluma Wilaya Kwimba mkoani Mwanza, Samwel Kulinga (44) amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka manne likiwemo la kuendesha…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanakijiji waukataa uongozi baada ya kuzuiliwa kulima

ZAIDI ya wakazi 1000 wa kijiji cha Ogutu, Kata ya Naberera Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara, wameleza kupoteza imani…

Soma Zaidi »
Afya

Muhimbili yatumia saa 6 kutenganisha mapacha

DAR ES SALAAM: SAA sita zimetumika kuwatenganisha watoto mapacha wa kike wenye umri wa miezi 10 wakazi wa Kigamboni jijini…

Soma Zaidi »
Tanzania

Takukuru yabaini madudu ujenzi wa shule Geita

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imebaini uwepo wa viashiria vya ubadhilifu na ufujaji wa pesa…

Soma Zaidi »
Jamii

Wazee wa kimila kuwafariji waathirika wa moto

LONGIDO, Arusha: WAZEE wa kimila wa Jamii ya Kimasai maarufu kwa jina la Laigwanani, Kata ya Engikaret, wilayani Longido, mkoani…

Soma Zaidi »
Jamii

Makamba ateta na Mkurugenzi Mkuu IOM

ITALIA: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Siasa

Makonda kufanya ziara Mtwara

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda anatarajiwa kufanya ziara mkoani Mtwara kuanzia Februari 10,…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania wachanguliwa mpango wa kimkakati

Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wahandisi wanawake wahitajika Tanesco

DAR ES SALAAM: KUTOKANA na uwepo wa ushiriki mdogo wa wahindisi wakike katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), shirika hilo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi wanane waliokataliwa wafaulu Geita

WANAFUNZI wanane waliokataliwa na shule mbalimbali za taasisi binafsi mkoani Geita kutokana na ufaulu mbaya wamegeuka mashujaa baada ya kupata…

Soma Zaidi »
Back to top button