Year: 2025

Michezo na Burudani

Azam FC yajipanga dhidi ya KMKM

KUELEKEA mchezo muhimu wa Kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Azam imerejea katika mazoezi makali huku ikitamba kuwa iko tayari…

Soma Zaidi »
Mitindo & Urembo

Mobetto kupamba Tanzania Fashion Festival

MWANAMITINDO na msanii maarufu wa Bongo Movie, Hamisa Mobetto, anatarajiwa kupamba usiku wa Tanzania Fashion Festival utakaofanyika Oktoba 18 katika…

Soma Zaidi »
Featured

Ujenzi Makumbusho ya Mwalimu Nyerere Dodoma safi!

RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan , ameridhia kujenga Kituo Kikubwa cha Kumbukumbu ya hayati Mwalimu Julius Nyerere mkoani…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wagombea, wastaafu wamuombea kura Dk Samia

ARUSHA: WAGOMBEA ubunge na wabunge wastaafu wanane wamefika Jimbo la Longido mkoani Arusha kumuombea kura mgombea urais wa Chama Cha…

Soma Zaidi »
Utalii

TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Wanakijiji wahimizwa ushirikiano na Polisi kuimarisha usalama

Wananchi wa Kijiji cha Minyaa mkoani Singida wamehimizwa kushikamana na kushirikiana kwa karibu na Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Itimila wasifu mfumo wa kifuta jasho

SIMIYU: Wananchi wa vijiji vya Nyantugutu, Lung’wa na Nding’ho vya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wameipongeza Serikali kwa kuunda na…

Soma Zaidi »
Utalii

TANAPA yafungua milango ya wawekezaji Rubondo

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limefungua milango ya uwekezaji kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo mkoani Geita…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Tanzania imepiga hatua kubwa utoaji huduma’

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Suleiman Hassan Serera, amesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika…

Soma Zaidi »
Featured

Busega waamka na Dk Samia

SIMIYU: Wananchi wilayani Busega mkoani Simiyu wamefurika wakimsubiri mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk…

Soma Zaidi »
Back to top button