Year: 2025

Tanzania

Mhandisi Masauni Makamu wa Rais UNEA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais…

Soma Zaidi »
Utalii

Dk Mwinyi apokea tuzo kivutio bora Afrika

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, leo amepokea tuzo ya kuwa Kivutio…

Soma Zaidi »
Tanzania

RC Shinyanga: Toeni elimu chanjo ya mifugo

SHINYANGA; Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,  Mboni Mhita amewataka wakuu wa divisheni za mifugo na uvuvi pamoja na maofisa ugani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania Yashiriki Maadhimisho ya Jamhuri

JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeungana na Jamhuri ya Kenya katika maadhimisho ya Siku ya Jamhuri (Jamhuri Day) yaliyofanyika kwenye…

Soma Zaidi »
Tanzania

Lukuvi asihi vijana kuwa uelewa wa mazingira

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) William Lukuvi ametoa wito kwa vijana kuendelea…

Soma Zaidi »
Zanzibar

‘Hakuna mbadala wa amani’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna mbadala wa amani na amewahimiza…

Soma Zaidi »
Madini

Twiga Minerals Yaipa Tanzania Nuru Mpya ya Maendeleo

TANZANIA inaendelea kung’ara kimataifa kupitia sekta ya madini, huku Twiga Minerals Corporation yenye ubia kati ya Serikali ya Tanzania na…

Soma Zaidi »
Gesi

Mazungumzo mabadiliko matumizi ya mafuta kwenda gesi

SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati imesema imekuwa na mazungumzo na Wizara ya Fedha kupunguza gharama na kodi katika vifaa vinavyotumika…

Soma Zaidi »
Jamii

Kero ya maji yamkera Mbunge Ngorongoro

MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Dk Yannick Ndoinyo ameahidi kufuatilia kujua kwa nini mradi wa maji wenye thamani…

Soma Zaidi »
Jamii

Bil 1.8/- zatumika miradi ya CSR Geita

KAMPUNI ya Mgodi wa Bucreef imetumia sh bilioni 1.8 kutekeleza miradi ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) wilayani Geita…

Soma Zaidi »
Back to top button