Year: 2025

Siasa

Ngajilo aingia tena uwanja wa Iringa Mjini

IRINGA: Fadhili Fabian Ngajilo, mwanasiasa mwenye rekodi ya utumishi wa muda mrefu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amechukua…

Soma Zaidi »
Siasa

Kikoti ajitosa tena ubunge Kilolo

IRINGA: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kilolo, Brian Kikoti, leo amechukua rasmi fomu ya kuwania…

Soma Zaidi »
Infographics

Wasafiri zaidi ya milioni 2 wametumia SGR

  DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ujio wa safari za treni ya kisasa ya SGR umeleta tija kubwa kiuchumi.…

Soma Zaidi »
Bunge

Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 3

DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Bunge la 12 litavunjwa rasmi Agosti 03, kufuatia kukamilika kwa kipindi chake…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Vyombo vya dola vitakuwa macho Uchaguzi Mkuu’

DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, ametahadharisha kuwa vyombo vya dola vitakuwa macho kipindi chote cha uchaguzi kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Featured

Samia: Mabadiliko ya Katiba 2025-2030

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa suala la mabadiliko ya Katiba lipo kwenye ajenda ya serikali na litatekelezwa ndani ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia aeleza sababu kupanda deni la Taifa

DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, ametumia dakika saba kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu mwenendo wa deni la taifa na…

Soma Zaidi »
Biashara

ATCL kuongeza safari, kujiendesha kwa tija

DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) litapanua wigo wa safari zake za kimataifa…

Soma Zaidi »
Biashara

SGR yatengeneza ajira 9,376

DODOMA — Ajira za moja kwa moja 9,376 tayari zimezalishwa kupitia utekelezaji wa mradi wa reli ya kisasa ya SGR,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia aeleza sababu kupanda deni la Taifa

DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan, ametumia dakika saba kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu mwenendo wa deni la taifa na hatua…

Soma Zaidi »
Back to top button