Year: 2025

Afya

Wananchi wajitokeza kwa wingi uchunguzi magonjwa ya moyo

DAR ES SALAAM: WANANCHI zaidi ya 120 wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika kambi ya siku mbili inayoendea…

Soma Zaidi »
Siasa

Makalla: Daraja la Magufuli, SGR, meli itachochea biashara

USAGARA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kukamilika…

Soma Zaidi »
Siasa

Makalla: Mkandarasi wa awali alichelewesha barabara Buchosa – Sengerema

BUCHOSA: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuchelewa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Muziki ni biashara, usajili ni kinga

WASANII wa muziki nchini wametakiwa kusajili na kulinda kazi zao kupitia mifumo rasmi ya miliki bunifu ili kunufaika kiuchumi na…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Mwinyi: Mkopo wa bil 240/- kujenga skuli 23 za ghorofa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania yajipanga kuja na Mahakama ndani ya SGR

TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa…

Soma Zaidi »
Featured

Mnyama kamili Zanzibar kuivaa Berkane

ZANZIBAR; Kikosi cha Simba tayari kimewasili Zanzibar leo Mei 21, 2025 tayari kwa mchezo wa marudiano fainali Kombe la Shirikisho…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Virusi vya West Nile vyaingia Uingereza

VIRUSI vya West Nile vimebainika kwa mara ya kwanza nchini Uingereza na vinahusishwa na mbu, kwa mujibu wa taarifa ya…

Soma Zaidi »
Featured

TSN, Xinhua kuimarisha ushirikiano matumizi AI

DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) na Shirika la Habari la China, Xinhua News Agency zimekubaliana kuimarisha…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo madini muhimu London

TANZANIA imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya…

Soma Zaidi »
Back to top button