Year: 2025

Chaguzi

Samia ahimiza kujiandikisha daftari la kura

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wanachama wa Chama cha Waandishi Waendesha Ofi si Tanzania (TAPSEA) wajiandikishe na kuhuisha taarifa zao…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watoto sita wenye vichwa vikubwa kulipiwa matibabu

DAR ES SALAAM: KIKUNDI cha Hisani cha Emma Kiduku Charity Group kimechangia matibabu ya watoto sita wenye kichwa kikubwa na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia kuzifanyia kazi changamoto TAPSEA

ARUSHA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itazifanyia kazi changamoto zilizowasilishwa na Chama cha Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) katika Mkutano…

Soma Zaidi »
Tanzania

PSSSF wapewa tuzo kufanikisha mkutano TAPSEA

ARUSHA: MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umepokea tuzo kutoka kwa Makamu wa Rais, Philip Mpango…

Soma Zaidi »
Biashara

SGR kusafirisha mizigo Dar-Dodoma Juni

DODOMA : WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza maandalizi ya kusafirisha mizigo kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

GGML yaungana na Takukuru kukabili mianya ya rushwa

GEITA: KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu ya Geita (GGML) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (Takukuru) imekuja…

Soma Zaidi »
Featured

Madini wakusanya zaidi ya bil 902/-

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ahukumiwa jela maisha kwa kumbaka mtoto mlemavu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara imemhukumu kifungo cha maisha jela Hassan Hakika ,18, baada ya kumpata na hatia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kuboresha miundombinu uzalishaji mbegu za kilimo

DODOMA: SERIKALI imekusudia kuboresha miundombinu ya uzalishaji mbegu bora za kilimo hususan mahindi, alizeti, maharagwe na mimea ya kunde. Vilevile…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakandarasi wazembe kuchukuliwa hatua

DAR ES SALAAM: SERIKALI imeiagiza Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuwachukulia hatua makandarasi wazembe wanaosababisha hasara na athari kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button