Year: 2025

Kimataifa

Watu 80000 wamekimbia makazi DRC

DR CONGO: SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi (UNHCR) limesema watu  elfu themanini wamekimbilia nchi jirani kufuatia mzozo…

Soma Zaidi »
Featured

Mwinyi aiomba UNESCO kusaidia uchumi wa Buluu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amelishauri Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Rais Macron kulihutubia Taifa

UFARANSA: Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anatarajiwa leo jioni kulihutubia taifa katika kipindi hiki cha kutokuwa na uhakika, huku changamoto…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM Kigoma yaridhishwa utekelezaji Ilani

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Kigoma imepitisha kwa kauli moja Azimio la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania, Canada kushirikiana kukuza ujuzi wadau sekta ya madini

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Ahmed Hussein kuhusu…

Soma Zaidi »
Afya

Uturuki waipa Muhas gari ya wagonjwa

SERIKALI ya Uturuki chini ya Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) lililopo Tanzania limetoa gari la kubebea wagonjwa ‘ambulance’ kwa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania, Cuba kupambana na maralia

PWANI: SERIKALI ya Cuba imeahidi kutoa ushirikiano kwa serikali ya Tanzania katika katika mapambano dhidi ya malaria. Rais wa Bunge…

Soma Zaidi »
Tanzania

VETA kuadhimisha miaka 30 elimu ya ufundi

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametangaza kuanza kwa Maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Elimu…

Soma Zaidi »
Afya

Kituo cha afya Kingolwira chahitaji msaada mashuka

KITUO cha Afya Kingolwira kiliyopo Manispaa ya Morogoro kimewaomba wadau kujitokeza kutoa misaada ya aina mbalimbali ikiwemo mashuka na vifaa…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Tanzania yashiriki mkutano wa mawasiliano ya simu Hispania

BARCELONA:  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry William Silaa , ameshiriki katika Mkutano wa Dunia wa Masuala ya…

Soma Zaidi »
Back to top button