Year: 2025

Diplomasia

‘Itakuwa mara ya kwanza Tanzania Rais kupokea viongozi wakuu 25’

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuvunja na kuandika rekodi ya kuwa Rais aliyepokea idadi kubwa ya Wakuu…

Soma Zaidi »
Featured

Mwinyi: Vyuo vikuu vijikite kwenye tafiti zenye tija kwa jamii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amevikumbusha vyuo vikuu vilivyopo nchini umuhimu wa…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM Iringa yaahidi kura za kipekee kwa Samia 2025

Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeweka dhamira ya kuongoza kitaifa kwa idadi ya kura atakazopata mgombea urais wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Daraja la Kigongo-Busisi lafikia asilimia 96.3

WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la John Pombe Magufuli  (Kigongo-Busisi) linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania yakaribisha wawekezaji vituo vya kujaza gesi vijijini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amesema Tanzania inakaribisha uwekezaji kutoka Uingereza kwa ajili ya ujenzi…

Soma Zaidi »
Infographics

Ulega ataka tathmini chanya vivuko vipya

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kufanya tathmini ili kujua athari chanya zitakazopatikana…

Soma Zaidi »
Tanzania

RC Mtwara ahimiza wananchi kujitokeza msaada wa kisheria

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala amewataka wananchi mkoani humo kujitokeza kwa wingi kupata elimu na huduma ya…

Soma Zaidi »
Afya

Biteko ataja mambo 7 kukuza afya, ustawi wenye ulemavu

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametaja mambo saba ambayo serikali inafanya kukuza afya na ustawi…

Soma Zaidi »
Featured

REA: Wazalishaji wadogo nishati waingiza megawati 23 gridi taifa

WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umesema wazalishaji na waendelezaji wadogo wa nishati nchini wamezalisha na kuingiza kwenye gridi ya taifa…

Soma Zaidi »
Featured

Samia aanika wizi risiti za EFDs, stempu

RAIS Samia Suluhu Hassan ameanika namna baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu wanavyoghushi risiti za mashine za EFDs na stempu za…

Soma Zaidi »
Back to top button