Year: 2025

Habari Kwa Kina

Tahadhari ya usalama yatangazwa Congo

CONGO: WAASI wa M23 wameendelea kudhibiti sehemu kubwa ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na sasa wameuzunguka mji…

Soma Zaidi »
Afya

Wizara yawekeza mapambano magonjwa ya moyo

WIZARA ya Afya imewekeza zaidi katika sekta ya afya ili kupambana na magonjwa ya moyo, ambayo Shirika la Afya Duniani…

Soma Zaidi »
Fedha

Dk. Mwigulu – Jiungeni soko la hisa la DSM

DAR-ES-SALAAM: WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Benki ya Azania kwa kuorodheshwa rasmi katika Soko la Hisa la Dar…

Soma Zaidi »
Tanzania

Temeke wakabidhiwa madawati 6,000 msingi, awali

DAR ES SALAAM :MEYA wa Manispaa ya Temeke Dar es salaam Abdallah Mtinika amekabidhi madawati 6,000 kati ya madawati 3,000…

Soma Zaidi »
Featured

Mwinyi asisitiza majukwaa kutumika kuhubiri umoja na amani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza viongozi wa dini, wanasiasa na waandishi…

Soma Zaidi »
Featured

PAC: Uwanja wa ndege Msalato ukamilike haraka, ubora

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipongeza Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi…

Soma Zaidi »
Featured

Chelsea yageukia kwa Alejandro Garnacho

TETESI za usajili zinasema Chelsea inatafakari kumsajili winga wa Manchester United raia wa Argentina, Alejandro Garnacho, mwenye umri wa miaka…

Soma Zaidi »
Featured

Ajenda ya nishati safi inavyoibeba Tanzania

JANUARI 27, mwaka huu macho ya mataifa yote ya Afrika yataelekea Tanzania wakati Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa…

Soma Zaidi »
Fedha

Wananchi wawezeshwa mikopo Pemba

MIKOPO kwa njia ya kidijitali imeanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) huku ikielezwa kuwa itawasaidia wananchi…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania mwenyeji kongamano utalii wa vyakula Afrika

MADRID, Hispania: SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano…

Soma Zaidi »
Back to top button