Year: 2026

Infographics

Tanzania kuwa kitovu uzalishaji viwandani Afrika

DODOMA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum, amesema Tanzania ina utajiri wa rasilimali za madini…

Soma Zaidi »
Dodoma

Serikali yawekeza trilioni 6 barabara,madaraja

SERIKALI imeongeza kasi ya uwekezaji katika miundombinu ya barabara na madaraja nchini, ikiwekeza zaidi ya Shilingi trilioni 6 katika miradi…

Soma Zaidi »
Zanzibar

SMZ kuongeza thamani zao la mwani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea na mikakati mbalimbali ya kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Shule 19 zapatiwa vifaa vya Tehama

SHULE 19 za msingi na sekondari katika mikoa tisa nchini zimepokea vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya Shilingi milioni 769,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Masauni ataka NEMC ipewe helkopta, awaonya wanaochafua mazingira 

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais; Muungano na Mazingira, Hamad Yusuf Masauni, amesema Baraza la…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Teknolojia kuchangia mapinduzi ya elimu

KATIBUMkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo…

Soma Zaidi »
Infographics

Mshindi wa mil 10/- aahidi kujenga msikiti

DAR ES SALAAM: Mshindi wa hundi ya Sh milioni 10 Umriya Omari amesema fedha hizo atazielekeza katika ujenzi wa kujenga…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Samia: Tudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kusisitiza uzingatiaji wa sheria katika shughuli…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanolewa kukabili uhalifu wa mazingira

DAR ES SALAAM: Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Italia ( Sant’Anna School…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Kinondoni aisifu kampuni ajira kwa vijana

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya Dough Works Ltd umesaidia…

Soma Zaidi »
Back to top button