Year: 2026

Biashara

Bidhaa bandia za bil 4/- zanaswa, sasa kuteketezwa

DAR ES SALAAM: Serikali imekamata na kuziondoa sokoni bidhaa bandia 99,100 zenye thamani ya Sh bilioni 4 zilizokuwa zikiuzwa kinyume…

Soma Zaidi »
Featured

Tume ya uchunguzi yaongezewa siku 21

DODOMA – Mamlaka ya Uteuzi nchini Tanzania imeongeza muda wa siku 21 kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Samia, Mwinyi kuongoza kumbukizi ya Karume leo

RAIS Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi wanatarajiwa kuungana na viongozi wakuu pamoja na wananchi leo…

Soma Zaidi »
Historia

Kumuenzi Karume ni wajibu wa kila mwananchi

KILA ifikapo Aprili 7, ya mwaka Zanzibar huadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wapotoshaji habari mitandaoni sasa kukiona

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Protabas Katambi amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi (IJP), Camillus Wambura kuchukua hatua kali…

Soma Zaidi »
Jamii

Auawa akitaka kumshambulia paroko

MKAZI wa Kijiji cha Kagunguli wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Renatus Silivester ameuawa na wananchi baada ya kuingia ghafla katika Kanisa…

Soma Zaidi »
Dini

Pasaka inawakumbusha kuishi kwa upendo

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa pasaka ni kipindi muhimu kinachowakumbusha Watanzania kuishi kwa upendo, mshikamano na kudumisha amani…

Soma Zaidi »
Biashara

Latra kuanza kupokea maoni ya nauli kesho

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kesho itaanza mchakato wa kupokea maoni ya wadau kuhusu uwezekano wa kufanya mapitio ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Vyombo vya ulinzi vyatajwa nguzo muhimu ya amani nchini

NAFASI ya vyombo vya ulinzi na usalama inaendelea kuwa mhimili muhimu katika kulinda amani na utulivu wa muda mrefu nchini.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania haijajibu malalamiko ya Ulaya kuhusu uteuzi wa ICC

DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania bado haijatoa kauli ya wazi kufuatia ukosoaji unaoibuka kutoka baadhi ya duru za kisheria…

Soma Zaidi »
Back to top button