Year: 2026

Madini

Tume ya Madini yatoa hati za makosa kwa miradi 42

DODOMA: Tume ya Madini imewaonya wamiliki wa miradi ya uchimbaji mdogo wa madini yenye Mikataba ya Msaada wa Kiufundi (TSA)…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali yaweka mkazo mifumo Uhamiaji Mtandao

DODOMA; Serikali imesema katika Mwaka wa Fedha 2025/2026, ilitoa kiasi cha Sh bilioni 69 kwa ajili ya ununuzi na ufungaji…

Soma Zaidi »
Bunge

Mkakati wa Kudumu Utatuzi Migogoro ya Ardhi waandaliwa

DODOMA; Serikali imesema imeandaa Mkakati wa Kudumu Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Agosti 26, 2026…

Soma Zaidi »
Bunge

Tanzania yatoa mchango uanachama EAC asilimia 100

DODOMA; Serikali ya Tanzania imesema tayari imeshatoa mchango wake wa uanachama katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (AEC) kwa mwaka wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Stamico yawekeza Sh milioni 40 mkaa mbadala Geita

GEITA: SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limetoa ufadhili wa jumla ya Sh milioni 40 kwa wazalishaji wa mkaa mbadala…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mradi wa maji wa miji 28 Geita wafikia 80%

GEITA: MRADI mkubwa wa maji wa miji 28 unaotekelezwa kwa gharama ya Dola za Marekani Milioni 53.463 ndani ya Manispaa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Kiruswa achangia Sh milioni 6 ujenzi darasa la awali

ARUSHA: Juhudi za wananchi wa Kitongoji cha Lailupa, Kijiji cha Meirugoi, Kata ya Gelai-Meirugoi wilayani Longido mkoani Arusha, za kujitolea…

Soma Zaidi »
Tanzania

Visima kuongeza upatikanaji maji Nyang’hwale

GEITA: WAKALA wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) imesema Mradi wa Maji wa Visima 5 vya Jimbo wilayani…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Tanzania yataka uwekezaji ardhi iliyoharibika

TANZANIA imeitaka jumuiya ya kimataifa kuongeza uwekezaji, teknolojia na rasilimali fedha kwa ajili ya kurejesha ardhi iliyoharibika na kukabiliana na…

Soma Zaidi »
Uchumi

Iringa yajipanga matumizi mbegu bora

IRINGA: WAKULIMA mkoani Iringa wamehimizwa kutumia mbegu bora na zilizoidhinishwa ili kuongeza tija na uzalishaji wa mazao, huku Serikali ikiimarisha…

Soma Zaidi »
Back to top button