Vicky Kimaro

Dodoma

Kamati kutathmini hali vyombo vya habari yaundwa

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameunda kamati ya watu tisa ya kutathmini vyombo vya habari…

Soma Zaidi »
Dodoma

Laini zisizohakikiwa kufungiwa Feb.13

SERIKALI imetangaza kuzifungia laini za simu ambazo hazijahakikiwa ifikapo Februari 13, 2023. Akizungumza leo Januari 24, 2023 Waziri wa Habari,…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Hakikisheni watoto wanapata chakula shuleni’

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi Mohamed Ramadhan, amewaagiza maofisa elimu kuelekeza nguvu kuhakikisha watoto wanapata…

Soma Zaidi »
Jamii

Mjane wa Magufuli, Kawawa wamshukuru Samia

MJANE wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli, Janeth Magufuli na mjane wa Waziri Mkuu Mstaafu,…

Soma Zaidi »
Biashara

Kampuni 400 za Ulaya kutua nchini kusaka fursa uwekezaji

KAMPUNI 400 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) zinatarajia kuja nchini mwezi ujao kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji na…

Soma Zaidi »
Kanda

13 wakamatwa wakituhumiwa kuchakachua mbolea

JESHI la Polisi mkoani Njombe limekamata watu 13 wanaotuhumiwa kuhusika kuchakachua mbolea za ruzuku na kuwauzia wakulima. Kamanda wa Polisi…

Soma Zaidi »
Afya

Serikali: Hatuachi mtu bima ya afya kwa wote

SERIKALI imesisitiza kwamba hakuna Mtanzania yeyote atakayeachwa nyuma katika suala la bima ya afya kwa wote, huku ikisisitiza watu wote…

Soma Zaidi »
Kanda

CCM Geita wataka weledi usimamizi wa miradi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Geita, kimeutaka uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Geita kuimarisha usimamizi wa miradi inayojengwa kwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Jela miaka 30 kwa kumbaka dada yake

FRANK Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Sh…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Imarisheni mifumo kuvutia wawekezaji’

MKUU wa Mkoa wa  Tanga, Omari Mgumba, ameishauri  mahakama kuimarisha mifumo ya sheria ili kuweza kuvutia wawekezaji, ikiwemo kukuza uchumu…

Soma Zaidi »
Back to top button