Kulthum Ally

Kimataifa

Biden augua saratani ya tezi dume

RAIS wa zamani wa Marekani, Joe Biden, amebainika kuugua saratani ya tezi dume

Soma Zaidi »
Kimataifa

Israel yaruhusu malori100 ya misaada kuingia Gaza

UMOJA wa Mataifa umethibitisha kuwa umepata kibali kutoka kwa Serikali ya Israel kuruhusu malori takribani 100 yaliyojaa misaada ya kibinadamu…

Soma Zaidi »
Africa

Ponyo ahukumiwa kifungo kwa ufisadi

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Augustin Matata Ponyo, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela

Soma Zaidi »
Jamii

TET, Taasisi ya Aga Khan wapanda miti kuhimiza utunzaji mazingira

TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Agha Khan Foundation, leo imepanda miti zaidi ya 200 katika eneo la…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Netanyahu awashutumu viongozi wa Ulaya kuhusu Gaza

WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amewashutumu viongozi wa Uingereza, Ufaransa na Canada kwa kile alichokiita “kuwapa Hamas zawadi kubwa”…

Soma Zaidi »
Africa

EU kutoa Euro bilioni 4 kuisaidia Misri

UMOJA wa Ulaya (EU) umepanga kutoa mkopo wa Euro bilioni 4 kwa ajili ya kuisaidia Misri kukabiliana na changamoto za…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Bodi ya filamu yamwita Wema Sepetu

BODI ya Filamu Tanzania imemuita muigizaji maarufu Wema Sepetu, almaarufu Chimama, kufika katika ofisi zao zilizopo Kivukoni, Dar es Salaam,…

Soma Zaidi »
Africa

Kamil Idris ateuliwa Waziri Mkuu mpya Sudan

MKUU wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amemteua afisa wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kamil Idris, kuwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Majaliwa mgeni rasmi tuzo za Wanamichezo Bora 2024

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya tuzo za Wanamichezo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kupitia upya sheria, mikataba ya uwekezaji

SERIKALI imeanza kupitia kwa kina mikataba ya uwekezaji baina ya nchi mbili (BITs) na sheria zinazohusiana, ikiwa ni hatua ya…

Soma Zaidi »
Back to top button