Kulthum Ally

Kimataifa

Mazungumzo ya amani DRC, Rwanda yaendelea Doha

DOHA: MJUMBE Maalum wa Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu masuala ya Afrika, Massad Boulos, amekutana leo mjini Doha na…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Marekani yaitetea Israel kuzuia misaada Gaza

UHOLANZI : MAREKANI imeitetea Israel mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu uamuzi wake wa kuzuia misaada ya…

Soma Zaidi »
Gesi

TPDC boresheni vitalu vya gesi na mafuta

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amelielekeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuongeza…

Soma Zaidi »
Afya

Dar: Wiki ya afya na ustawi yazinduliwa

DAR-ES-SALAAM :  TAASISI ya Bloom Wellness Tanzania imezindua Wiki ya Afya na Ustawi Tanzania, itakayofanyika kwa siku mbili jijini Dar…

Soma Zaidi »
Kimataifa

DRC: ICRC yaanza kuhamisha wanajeshi waliokwama Goma

GOMA : KAMATI ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imeanza rasmi zoezi la kuhamisha mamia ya wanajeshi na polisi wa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Hungary yapiga kura kujiondoa ICC

HUNGARY : BUNGE la Hungary limepiga kura kuunga mkono kujiondoa kwa nchi hiyo kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC),…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Vietnam kuwaachia huru wafungwa 8,000

HANOI: SERIKALI ya Vietnam imepanga kuwaachia huru wafungwa zaidi ya 8,000, wakiwemo raia 25 wa kigeni kutoka mataifa tisa, ikiwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

China, Urusi waongoza mitambo ya nyuklia

BEIJING : MATAIFA ya China na Urusi yameibuka vinara wa maendeleo ya teknolojia ya nyuklia duniani, baada ya kubainika kuwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

BRICS yapingana na ushuru wa Trump

BRAZIL : SERA mpya za ushuru zilizowekwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, zimechukua nafasi kubwa katika ajenda ya mkutano…

Soma Zaidi »
Biashara

Biashara Mtandao yaingiza Sh Bilioni 192

DODOMA: SERIKALI imekusanya Shilingi bilioni 192.78 kutokana na biashara mtandaoni, ikiwemo michezo ya kubahatisha, kati ya Julai 2024 hadi Machi…

Soma Zaidi »
Back to top button