Mwandishi wetu

Tanzania

Chalamila arudisha tabasamu kwa Alice

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi Alice Nyamwiza Haule, mjane wa marehemu Justus Rugaibula, hati ya…

Soma Zaidi »
Afya

TMDA ‘yakomaa’ viwango WHO

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imefanikiwa kushikilia hadhi ya Kiwango cha Tatu cha Ukomavu (WHO Maturity Level 3)…

Soma Zaidi »
Chaguzi

UWT:Wapuuzeni wanaopiga kelele,mkapige kura

KATIBU MKUU wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Susan Kunambi, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kairuki aahidi kutatua migogoro ya ardhi Msigani

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba, Angellah Kairuki, ameainisha vipaumbele 10 atakavyotekeleza katika kata ya Msigani ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge…

Soma Zaidi »
Featured

Beatrice ang’ara, Top 5 Miss Grand 2025

MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2025 yaliyomalizika nchini Thailand, Beatrice Alex Akyoo, amefanikiwa kupeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yajipanga kuzalisha nguvu kazi

SERIKALI imepongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kuandaa mkutano muhimu kwa kushirikiana na Wizara ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Rais Mwinyi: Tuilinde Amani Yetu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kudumisha amani ni jukumu la kila…

Soma Zaidi »
Africa

Ida Odinga aitisha amani kumuenzi Raila

MJANE wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, Mama Ida Odinga, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu kifo…

Soma Zaidi »
Jamii

SUA yapata miradi 36 yenye thamani Bil.10.5

CHUO  Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA ) kimeeleza kuwa hadi kufikia Oktoba mwaka huu  miradi mipya ya utafiti 36…

Soma Zaidi »
Afya

Wataalamu wa usingizi wapewa sifa KCMC

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) imeungana na dunia kuadhimisha Siku ya Usingizi na Ganzi Tiba Duniani kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button