Anne Robi

Tanzania

Mzee wa miaka 80 ashukuru kujengewa nyumba

“CHA kuwapeni mimi sina, Mungu atawalipa” maneno ya mzee Hamisi Seleman mkazi wa Mtwara Mjini, mkoani Mtwara baada ya kujengewa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Mpango mgeni rasmi mkutano wadau wa siasa Arusha

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa kisiasa ulioandaliwa na Chama cha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Polisi yaanza oparesheni watoto wa mitaani Geita

JESHI la Polisi mkoani Geita limefanikiwa kuwarejesha makwao jumla ya watoto 19 wa mtaani na wasio na makazi maalum ikiwa…

Soma Zaidi »
Afya

Muhas yaja na mkakati kukabili usonji

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kitaendelea kuzalisha wataalamu wa shahada ya awali…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bodaboda, bajaji watakiwa kuanzisha vikundi kujikwamua

DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema serikali itaendelea kuwaunga mkono maafisa usafirishaji (Bodaboda na Bajaji)…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mama Ongea na Mwanao yamsapoti Christina Shusho

Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao imetangaza kuunga mkono juhudi za mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili, Christina Shusho, katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ujenzi madaraja hautaathiri mipango ya kudumu-uLega

LINDI: SERIKALI imefafanua kwamba kazi ya ujenzi wa madaraja matano kwenye barabara Kuu ya Dar es Salaam – Lindi zilikuwa…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

We discuss the word which start with letter I in Swahili language and the word is iba and idara ,we…

Soma Zaidi »
Infographics

Serikali yaendelea kupeleka umeme migodini

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea na utekelezaji wa miradi ya…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Rais Mwinyi awakaribisha wawekezaji kutoka Uingereza

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Uingereza kuwekeza  Zanzibar katika…

Soma Zaidi »
Back to top button